- Kama umewahi kujisajili katika mfumo huu, usijaribu kujisajili tena hata kwa email nyingine
tumia email uliyotumia awali kuingia kwenye mfumo.
- Ikiwa umesahau nywila (Password) yako, bofya sehemu iliyoandikwa 'Click here to reset'
kuhuisha nywila na kuingia kwenye mfumo.
- Ukishaingia kwenye mfumo chagua mkutano unaotaka kushiriki na bofya Apply.
- Kwa msaada piga +255 764 292 299 au +255 763 292 299