eGov TSMS Login

Mafunzo ya utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao 2019 na kanuni zake kwa Wakuu wa Taasisi za Umma na Wakuu wa Vitengo vya TEHAMA yameahirishwa kufuatia agizo la Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa la kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa corona. Mafunzo hayo yatatolewa kwa njia ya mtandao, hivyo washiriki wanaweza kuendelea kujisajili.

If you forgot password.. Click here to reset !
Click here to Register