e-GA

eGov TSMS New Registration

Tafadhali zingatia yafuatayo wakati unajisajili.

  1. Ingiza taarifa zako kwa usahihi, ikiwemo majina yako, Taasisi na Nafasi yako.
  2. Tumia email rasmi ambayo unatumia mara kwa mara kwa shughuli rasmi (i.e email ya serikali au ya kiofisi)
  3. Weka namba ya simu kwa usahihi, hakiki Taarifa zako kabla ya kuwasilisha.
  4. Kama umewahi kujisajili katika mfumo huu, usijaribu kujisajili tena hata kwa email nyingine tumia email uliyotumia awali kuingia kwenye mfumo.
  5. Kwa msaada piga +255 764 292 299 au +255 763 292 299

Personal Details

Work Detail

Credential

Back If already registered Login